Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 21:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Hatta watu kadha wa kadha walipokuwa wakinena khabari za hekalu, ya kama lilipambwa kwa mawe mazuri, na sadaka za watu, akasema,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Baadhi ya wanafunzi walikuwa wanazungumza juu ya hekalu, jinsi lilivyopambwa kwa mawe ya thamani, pamoja na sadaka zilizotolewa kwa Mungu. Yesu akasema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Baadhi ya wanafunzi walikuwa wanazungumza juu ya hekalu, jinsi lilivyopambwa kwa mawe ya thamani, pamoja na sadaka zilizotolewa kwa Mungu. Yesu akasema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Baadhi ya wanafunzi walikuwa wanazungumza juu ya hekalu, jinsi lilivyopambwa kwa mawe ya thamani, pamoja na sadaka zilizotolewa kwa Mungu. Yesu akasema,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Baadhi ya wanafunzi wake wakawa wanamwonesha jinsi Hekalu lilivyopambwa kwa mawe mazuri na kwa vitu vilivyotolewa kuwa sadaka kwa Mungu. Lakini Isa akawaambia,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Baadhi ya wanafunzi wake wakawa wanamwonyesha jinsi Hekalu lilivyopambwa kwa mawe mazuri na kwa vitu vilivyotolewa kuwa sadaka kwa Mungu. Lakini Isa akawaambia,

Tazama sura Nakili

Luka 21:5
3 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi Wayahudi wakasema, Hekalu hii ilijengwa katika muda wa miaka arubaini na sita, nawe utaisimamisha kwa siku tatu?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo