Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 21:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 kwa maana hawa wote wametia katika sadaka za Mungu baadhi ya mali iliyowazidi, bali huyu katika mahitaji yake ametia vitu vyote alivyokuwa navyo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kwa maana, wengine wote wametoa sadaka zao kutokana na ziada ya mali zao, lakini huyu mama, ingawa ni maskini, ametoa kila kitu alichohitaji kwa kuishi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kwa maana, wengine wote wametoa sadaka zao kutokana na ziada ya mali zao, lakini huyu mama, ingawa ni maskini, ametoa kila kitu alichohitaji kwa kuishi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kwa maana, wengine wote wametoa sadaka zao kutokana na ziada ya mali zao, lakini huyu mama, ingawa ni maskini, ametoa kila kitu alichohitaji kwa kuishi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Hawa watu wengine wote wametoa sadaka kutokana na wingi wa mali yao. Lakini huyu mjane ametoa kutokana na umaskini wake vyote alivyokuwa navyo, hata kile alichohitaji ili kuishi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Hawa watu wengine wote wametoa sadaka kutokana na wingi wa mali zao. Lakini huyu mjane ametoa kutokana na umaskini wake vyote alivyokuwa navyo, hata kile alichohitaji ili kuishi.”

Tazama sura Nakili




Luka 21:4
7 Marejeleo ya Msalaba  

maana hawa wote walitia baadhi ya mali iliyowazidi: bali huyu katika mahitaji yake ametia vyote alivyokuwa navyo, ndio maisha yake yote pia.


Yule aliye mdogo akamwambia baba yake, Baba, nipe sehemu ya mali iniangukiayo. Akawagawanyia vitu vyake.


Akasema, Amin, nawaambieni, Huyu mjane maskini ametia vingi kuliko wote:


Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu tangu miaka thenashara, aliyegharimu vitu vyote alivyo navyo akawapa tabibu asipate kuponywa na mtu aliye yote,


Wala hapakuwa na mtu mmoja miongoni mwao mwenye mahitaji; kwa sababu watu wote waliokuwa na uwanja au nyumba waliviuza, wakaileta thamani ya vitu vile vilivyouzwa


Maana, kama nia ipo, hukubaliwa kwa kadiri ya alivyo navyo mtu, si kwa kadiri ya asivyo navyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo