Luka 21:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192138 Watu wote wakaamka mapema wakamwendea alfajiri mle hekaluni illi kumsikiliza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Watu wote walikuwa wanakwenda hekaluni asubuhi na mapema, wapate kumsikiliza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Watu wote walikuwa wanakwenda hekaluni asubuhi na mapema, wapate kumsikiliza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Watu wote walikuwa wanakwenda hekaluni asubuhi na mapema, wapate kumsikiliza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Nao watu wote walikuja asubuhi na mapema Hekaluni ili kumsikiliza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Nao watu wote walikuja asubuhi na mapema Hekaluni ili kumsikiliza. Tazama sura |