Luka 21:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192132 Amin, nawaanibieni, Kizazi hiki hakitapita kamwe hatta haya yote yatimizwe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Kweli nawaambieni, kizazi hiki cha sasa hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Kweli nawaambieni, kizazi hiki cha sasa hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Kweli nawaambieni, kizazi hiki cha sasa hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 “Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 “Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. Tazama sura |