Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 21:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Nanyi vivyo hivyo mwonapo hayo yanakuwa, tambueni ya kuwa ufalme wa Mungu u karibu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Vivyo hivyo, mtakapoona mambo hayo yanatendeka, mtatambua kwamba ufalme wa Mungu umekaribia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Vivyo hivyo, mtakapoona mambo hayo yanatendeka, mtatambua kwamba ufalme wa Mungu umekaribia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Vivyo hivyo, mtakapoona mambo hayo yanatendeka, mtatambua kwamba ufalme wa Mungu umekaribia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Vivyo hivyo, mnapoyaona mambo haya yakitukia, mtambue kwamba ufalme wa Mungu umekaribia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yakitukia, mnatambua kwamba Ufalme wa Mwenyezi Mungu umekaribia.

Tazama sura Nakili




Luka 21:31
7 Marejeleo ya Msalaba  

Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.


Amin, nawaanibieni, Kizazi hiki hakitapita kamwe hatta haya yote yatimizwe.


Kwa kuwa bado kitambo kidogo sana, Yeye ajae atakuja, wala hatakawia.


Msinungʼunikiane, ndugu, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango.


Mwisho wa mamho yote umekaribia; bassi, mwe na akili, mkakeshe katika sala:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo