Luka 21:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 iishapo kuchupua, mwaona na kutambua nafsini mwenu ya kwamba mavuno yameisha kuwa karibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Mnapoona kwamba imeanza kuchipua majani, mwatambua kwamba majira ya mavuno yamekaribia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Mnapoona kwamba imeanza kuchipua majani, mwatambua kwamba majira ya mavuno yamekaribia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Mnapoona kwamba imeanza kuchipua majani, mwatambua kwamba majira ya mavuno yamekaribia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Inapochipua majani, ninyi wenyewe mnaweza kuona na kutambua wenyewe ya kuwa wakati wa kiangazi umekaribia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Inapochipua majani, ninyi wenyewe mnaweza kuona na kutambua wenyewe ya kuwa wakati wa kiangazi umekaribia. Tazama sura |