Luka 21:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192122 Kwa sababu hizi ni siku ya mapatilizo, yote yaliyoandikwa yapate kutimizwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Kwa maana siku hizo ni siku za adhabu, ili yote yaliyoandikwa yatimie. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Kwa maana siku hizo ni siku za adhabu, ili yote yaliyoandikwa yatimie. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Kwa maana siku hizo ni siku za adhabu, ili yote yaliyoandikwa yatimie. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Kwa sababu huu utakuwa ni wakati wa adhabu ili kutimiza yote yaliyoandikwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Kwa sababu huu utakuwa ni wakati wa adhabu ili kutimiza yote yaliyoandikwa. Tazama sura |