Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 21:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Ndipo walio katika Yahudi wakimbilie milimani, na walio katikati yake watoke waende zao, na walio shambani wasiuingie.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Hapo, walioko Yudea wakimbilie milimani; wale walio mjini watoke; na wale walio mashambani wasirudi mjini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Hapo, walioko Yudea wakimbilie milimani; wale walio mjini watoke; na wale walio mashambani wasirudi mjini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Hapo, walioko Yudea wakimbilie milimani; wale walio mjini watoke; na wale walio mashambani wasirudi mjini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Wakati huo, wale walio Yudea wakimbilie milimani, walio mjini Yerusalemu watoke humo, nao wale walio mashambani wasiingie mjini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Wakati huo, wale walio Uyahudi wakimbilie milimani, walio mjini Yerusalemu watoke humo, nao wale walioko mashambani wasiingie mjini.

Tazama sura Nakili




Luka 21:21
13 Marejeleo ya Msalaba  

ALIPOZALIWA Yesu katika Bethlehemu ya Yahudi zamani za mfalme Herode, majusi wa mashariki walifika Yerusalemi,


ndipo walio katika Yahudi wakimbilie milimani;


nae aliye juu ya dari asishuke nyumbani, wala asiingie kuchukua kitu katika nyumba yake,


Nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo