Luka 21:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 Akamwona na mjane mmoja maskini, akitia robo pesa mbili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Akamwona pia mjane mmoja maskini akiweka humo sarafu mbili ndogo za shaba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Akamwona pia mjane mmoja maskini akiweka humo sarafu mbili ndogo za shaba. Tazama sura |