Luka 21:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192114 Azimuni bassi mioyoni mwenu, msitafakari mbele mtakavyojibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: Hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: Hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Muwe na msimamo huu mioyoni mwenu: hakuna kufikiria kabla ya wakati juu ya jinsi mtakavyojitetea, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Lakini kusudieni mioyoni mwenu msisumbuke awali kuhusu mtakalosema mbele ya mashtaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Lakini kusudieni mioyoni mwenu msisumbuke awali kuhusu mtakalosema mbele ya mashtaka. Tazama sura |