Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 21:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 kutakuwa na matetemeko makubwa ya inchi mahali mahali, na njaa, na tauni. Kutakuwa na mambo ya kutisha, na ishara kuu kutoka mbinguni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Kila mahali kutakuwa na mitetemeko mikubwa ya ardhi, njaa na tauni. Kutakuwa na vituko vya kutisha na ishara kubwa angani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Kila mahali kutakuwa na mitetemeko mikubwa ya ardhi, njaa na tauni. Kutakuwa na vituko vya kutisha na ishara kubwa angani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Kila mahali kutakuwa na mitetemeko mikubwa ya ardhi, njaa na tauni. Kutakuwa na vituko vya kutisha na ishara kubwa angani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kutakuwa na mitetemeko mikubwa ya ardhi, na njaa kali, na magonjwa ya kuambukiza katika sehemu mbalimbali. Pia kutakuwa na matukio ya kutisha na ishara kuu kutoka mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kutakuwa na mitetemeko mikubwa ya ardhi, na njaa kali, na magonjwa ya kuambukiza katika sehemu mbalimbali. Pia kutakuwa na matukio ya kutisha na ishara kuu kutoka mbinguni.

Tazama sura Nakili

Luka 21:11
8 Marejeleo ya Msalaba  

Maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwako na njaa, na maradhi, na matetemeko ya inchi pahali pahali.

Kiisha akawaambia, Taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme:

Lakini kabla ya haya yote watawakamateni na kuwaudhini, watawapelekeni mbele ya sunagogi na gerezani, mkichukuliwa mbele ya wafalme na maliwali kwa ajili ya jina langu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo