Luka 21:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 AKAINUA macho yake akawaona watu wakitia sadaka zao katika sanduku ya hazina, watu matajiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya hekalu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya hekalu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya hekalu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Isa alipoinua macho yake, aliwaona matajiri wakiweka sadaka zao kwenye sanduku la hazina ya Hekalu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Isa alipoinua macho yake, aliwaona matajiri wakiweka sadaka zao kwenye sanduku la hazina ya Hekalu. Tazama sura |