Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 20:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Akaanza kuwaambia watu mfano huu: Mtu alipanda mizabibu, akapangisha wakulima, akaenda inchi nyingine kwa muda wa siku nyingi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Yesu akaendelea kuwaambia watu mfano huu: “Mtu mmoja alilima shamba la mizabibu, akalikodisha kwa wakulima; kisha akasafiri hadi nchi ya mbali, akakaa huko kwa muda mrefu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Yesu akaendelea kuwaambia watu mfano huu: “Mtu mmoja alilima shamba la mizabibu, akalikodisha kwa wakulima; kisha akasafiri hadi nchi ya mbali, akakaa huko kwa muda mrefu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Yesu akaendelea kuwaambia watu mfano huu: “Mtu mmoja alilima shamba la mizabibu, akalikodisha kwa wakulima; kisha akasafiri hadi nchi ya mbali, akakaa huko kwa muda mrefu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Akaendelea kuwaambia watu mfano huu: “Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu, akalikodisha kwa wakulima fulani, kisha akasafiri kwa muda mrefu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Akaendelea kuwaambia watu mfano huu: “Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu, akalikodisha kwa wakulima fulani, kisha akasafiri kwa muda mrefu.

Tazama sura Nakili

Luka 20:9
15 Marejeleo ya Msalaba  

Maana ni mfano wa mtu atakae kusafiri kwenda inchi ya ugeni, aliwaita watumishi wake, akaweka kwao mali zake.

Bassi akasema, Mtu mmoja, mungwana, alisafiri kwenda inchi ya mbali illi kujipatia ufalme na kurejea.

Na wakati wa mavuno akatuma mtumishi kwa wale wakulima illi wampe baadhi ya matunda ya mizabibu, wakulima wakampiga, wakamtoa hana kitu.

Yesu akawaambia, Wala mimi siwaambii ninyi ni kwa mamlaka gani ninatenda haya.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo