Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 20:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Bali tukisema, Kwa wana Adamu, watu wote watatupiga mawe: kwa sababu wamesadiki ya kuwa Yohana ni nabii.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Na tukisema yalitoka kwa binadamu, watu wote hapa watatupiga mawe, maana wote wanaamini kwamba Yohane alikuwa nabii.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Na tukisema yalitoka kwa binadamu, watu wote hapa watatupiga mawe, maana wote wanaamini kwamba Yohane alikuwa nabii.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Na tukisema yalitoka kwa binadamu, watu wote hapa watatupiga mawe, maana wote wanaamini kwamba Yohane alikuwa nabii.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’ watu wote watatupiga mawe, kwa sababu wanaamini kwamba Yahya alikuwa nabii.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’ watu wote watatupiga mawe, kwa sababu wanaamini kwamba Yahya alikuwa nabii.”

Tazama sura Nakili

Luka 20:6
13 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini mlikwenda kuona nini? Nabii? Naam, nawaambieni, na aliye zaidi ya nabii.

Na alipotaka kumwua, aliwaogopa watu, maana walimwona kuwa nabii.

Na tukisema, Kwa wana Adamu; twaogopa makutano; maana watu wote wanaona ya kuwa Yohana ni nabii.

Nao walipotafuta kumkamata, wakawaogopa makutano, kwa maana walimwona kuwa nabii.

Wakanena, Sio wakati wa siku kuu, isije ikatokea ghasia katika watu.

Wakatafuta kumkamata, wakaogopa makutano; maana walitambua ya kwamba ule mfano amewanena wao. Wakamwacha wakaenda zao.

Na wewe nawe, Mtoto, utakwitwa nabii wake Aliye juu: Kwa maana utatangulia mbele ya uso wake Bwana ufanyize njia zake;

Wakasemezana wao kwa wao, wakinena, Kama tukisema, Toka mbinguni, atasema, Mbona hamkumwamini bassi?

Wakajibu kwamba, Hatujui atokako.

Bali Mafarisayo na wana sharia walijikatalia shauri la Mungu kwa kuwa hawakubatizwa nae.

Yohana hakufanya ishara yo yote, lakini yote aliyosema Yohana katika khabari zake huyu yalikuwa kweli.

Yule jemadari akaenda pamoja na watumishi, wakawaleta, lakini si kwa nguvu, kwa maana waliogopa watu wasije wakawatupia mawe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo