Luka 20:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192142 Na Daud mwenyewe asema katika chuo cha Zaburi, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Daudi mwenyewe anasema katika Zaburi: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Daudi mwenyewe anasema katika Zaburi: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Daudi mwenyewe anasema katika Zaburi: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: “ ‘bwana Mwenyezi alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, Tazama sura |