Luka 20:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192140 Wala hakuthubutu mtu kumwuliza neno baada ya haya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Walisema hivyo kwa sababu hawakuthubutu kumwuliza tena maswali mengine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Walisema hivyo kwa sababu hawakuthubutu kumwuliza tena maswali mengine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Walisema hivyo kwa sababu hawakuthubutu kumwuliza tena maswali mengine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Baada ya hayo hakuna mtu aliyethubutu kumuuliza maswali tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Baada ya hayo hakuna mtu aliyethubutu kumuuliza maswali tena. Tazama sura |