Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 20:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Yesu akajibu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa, na kuozwa,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Yesu akawaambia, “Watu wa nyakati hizi huoa na kuolewa;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Yesu akawaambia, “Watu wa nyakati hizi huoa na kuolewa;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Yesu akawaambia, “Watu wa nyakati hizi huoa na kuolewa;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Isa akawajibu, “Katika maisha haya watu huoa na kuolewa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Isa akawajibu, “Katika maisha haya watu huoa na kuolewa.

Tazama sura Nakili




Luka 20:34
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na killa mtu atakaenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali yeye atakaenena neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa katika ulimwengu wa sasa, wala katika ule ntakaokuwa.


Yule bwana akamsifu wakili asiye haki, kwa kuwa alitenda kwa busara: kwa maana wana wa zamani hizi wana busara kuliko wana wa nuru, katika kizazi chao wenyewe.


Walikuwa wakila, wakinywa, wakioa, wakiozwa, hatta siku ile aliyoingia Nuhu katika safina, gbarika ikafika, ikawaangamiza wote.


Bassi katika kiyama, atakuwa mke wa nani katika hawo? maana wale saba walikuwa nae.


Kwa sababu hiyo mtu atamwacha haha yake na mama yake, ataamhatana na mkewe; nao wawili watakuwa mwili mmoja.


Ndoa iheshimiwe na watu wote, na malalo yawe safi: kwa maana waasharati na wazinzi Mungu atawahukumu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo