Luka 2:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 illi aandikwe pamoja na Mariamu mkewe ambae ameposwa nae; nae ana mimba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Alienda huko kujiandikisha pamoja na Mariamu, aliyekuwa amemposa, na alikuwa mjamzito. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Alikwenda huko kujiandikisha pamoja na Mariamu, ambaye alikuwa amemposa, naye alikuwa mjamzito. Tazama sura |