Luka 2:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192143 na wakiisha kuzitimiza siku, walipokuwa wanarudi kwao, yule mtoto Yesu akabaki nyuma Yerusalemi, wala mama yake na Yusuf hawakujua; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Baada ya sikukuu, walianza safari ya kurudi makwao, lakini Yesu alibaki Yerusalemu bila wazazi wake kuwa na habari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Baada ya sikukuu, walianza safari ya kurudi makwao, lakini Yesu alibaki Yerusalemu bila wazazi wake kuwa na habari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Baada ya sikukuu, walianza safari ya kurudi makwao, lakini Yesu alibaki Yerusalemu bila wazazi wake kuwa na habari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Baada ya Sikukuu kumalizika, wakati Yusufu na Mariamu mama yake walipokuwa wakirudi nyumbani, Isa alibaki Yerusalemu lakini hawakutambua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Baada ya Sikukuu kumalizika, wakati Yusufu na Mariamu mama yake walipokuwa wakirudi nyumbani, Isa alibaki Yerusalemu lakini hawakutambua. Tazama sura |