Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 2:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

42 Hatta alipopata miaka kumi na miwili, wakapanda kwenda Yerusalemi, kama ilivyokuwa desturi ya siku kuu:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 Mtoto alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, wote walikwenda kwenye sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 Mtoto alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, wote walikwenda kwenye sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 Mtoto alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, wote walikwenda kwenye sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 Isa alipokuwa na umri wa miaka kumi na mbili, walipanda kwenda kwenye Sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 Isa alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, walipanda kwenda kwenye Sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi.

Tazama sura Nakili




Luka 2:42
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi wazee wake, killa mwaka walikuwa wakienda Yerusalemi siku kuu ya Pasaka.


na wakiisha kuzitimiza siku, walipokuwa wanarudi kwao, yule mtoto Yesu akabaki nyuma Yerusalemi, wala mama yake na Yusuf hawakujua;


Akaenda Nazareti, mahali alipokuwa amelelewa: akaingia katika sunagogi siku ya sabato, kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama illi asome.


Bassi alipofika Galilaya Wagalilaya wakampokea, kwa kuwa wameona mambo yote aliyoyatenda Yerusalemi wakati wa siku kuu; maana hao nao waliendea siku kuu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo