Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 2:41 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

41 Bassi wazee wake, killa mwaka walikuwa wakienda Yerusalemi siku kuu ya Pasaka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 Wazazi wake walikuwa na desturi ya kwenda Yerusalemu kila mwaka wakati wa sikukuu ya Pasaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 Wazazi wake walikuwa na desturi ya kwenda Yerusalemu kila mwaka wakati wa sikukuu ya Pasaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 Wazazi wake walikuwa na desturi ya kwenda Yerusalemu kila mwaka wakati wa sikukuu ya Pasaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 Kila mwaka Yusufu na Mariamu mama yake Isa walikuwa na desturi ya kwenda Yerusalemu kwa ajili ya Sikukuu ya Pasaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 Kila mwaka Yusufu na Mariamu mama yake Isa walikuwa na desturi ya kwenda Yerusalemu kwa ajili ya Sikukuu ya Pasaka.

Tazama sura Nakili

Luka 2:41
18 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta alipopata miaka kumi na miwili, wakapanda kwenda Yerusalemi, kama ilivyokuwa desturi ya siku kuu:

Na Pasaka ya Wayahudi ilikuwa karibu; wengi wakapanda toka inchi yote pia kwenda Yerusalemi kabla ya Pasaka, illi wajitakase.

HATTA kabla ya siku kuu ya Pasaka, Yesu akijua ya kuwa saa yake imefika atakayotoka katika ulimwengu huu kwenda kwa Baba, akiwa aliwapenda watu wake katika ulimwengu, aliwapeuda ukomo wa upendo.

Na Pasaka ya Wayahudi ilikuwa karibu: Yesu akapanda hatta Yerusalemi.

Na Pasaka, siku kuu ya Wayahudi, ilikuwa karibu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo