Luka 2:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192140 Mtoto yule akakua, akaongezeka nguvu, akajazwa hekima; neema ya Mungu ikawa pamoja nae. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Mtoto akakua, akazidi kupata nguvu, akajaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Mtoto akakua, akazidi kupata nguvu, akajaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Mtoto akakua, akazidi kupata nguvu, akajaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Naye yule mtoto akakua na kuongezeka nguvu, akijawa na hekima, na neema ya Mungu ilikuwa juu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Naye yule mtoto akakua na kuongezeka nguvu, akiwa amejaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa juu yake. Tazama sura |