Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 2:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Nao walipokwisha kuyatimiza yote yaliyomo katika sharia ya Bwana, wakarudi Galilaya hatta mji wao Nazareti,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Hao wazazi walipokwisha fanya yote yaliyoamriwa na sheria ya Bwana, walirudi makwao Nazareti, wilayani Galilaya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Hao wazazi walipokwisha fanya yote yaliyoamriwa na sheria ya Bwana, walirudi makwao Nazareti, wilayani Galilaya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Hao wazazi walipokwisha fanya yote yaliyoamriwa na sheria ya Bwana, walirudi makwao Nazareti, wilayani Galilaya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Yusufu na Mariamu walipokuwa wamekamilisha mambo yote yaliyotakiwa na Torati ya Mwenyezi Mungu, walirudi mjini kwao Nasiri huko Galilaya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Yusufu na Mariamu walipokuwa wamekamilisha mambo yote yaliyotakiwa na Torati ya Mwenyezi Mungu, walirudi mjini kwao Nasiri huko Galilaya.

Tazama sura Nakili

Luka 2:39
11 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajibu, akamwambia, Hayo yaache sasa: kwa kuwa hivi imetupasa kutimiza haki yote. Bassi akamwacha.

Mwezi wa sita malaika Gabrieli alipelekwa na Mungu kwenda mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,

Nao wote wawili wenye haki mbele ya Mungu, wakiendelea katika amri zote za Bwana na hukumu zake zote bila lawama.

Na Yusuf nae akaondoka Galilaya kutoka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Yahudi hatta mji wa Daud, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye wa nyumba na jamaa ya Daud,

Akashuka pamoja nao, akafika Nazareti, akawa anawatii: mama yake akayahifadhi maneno haya yote moyoni mwake.

Akaenda Nazareti, mahali alipokuwa amelelewa: akaingia katika sunagogi siku ya sabato, kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama illi asome.

Akawaambia, Hapana shaka mtaniambia methali hii, Tabibu, jiponye nafsi yako: mambo yote tuliyosikia yametendeka Kapernaum, yatende na hapa pia katika inchi yako mwenyewe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo