Luka 2:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192135 hatta na wewe upanga utakupenya roho yako; illi yafumike mawazo ya mioyo mingi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 na hivyo mawazo ya watu wengi yataonekana wazi. Nawe mwenyewe, uchungu ulio kama upanga mkali utauchoma moyo wako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 na hivyo mawazo ya watu wengi yataonekana wazi. Nawe mwenyewe, uchungu ulio kama upanga mkali utauchoma moyo wako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 na hivyo mawazo ya watu wengi yataonekana wazi. Nawe mwenyewe, uchungu ulio kama upanga mkali utauchoma moyo wako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 ili mawazo ya mioyo mingi yadhihirike. Nao upanga utauchoma moyo wako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 ili mawazo ya mioyo mingi yadhihirike. Nao upanga utauchoma moyo wako.” Tazama sura |