Luka 2:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19213 Watu wote wakashika njia kwenda kuandikwa, killa mtu mjini kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kila mtu alienda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kila mtu alikwenda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa. Tazama sura |