Luka 2:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192127 Bassi akaja hekaluni kwa roho: na wazee wake walipomleta mtoto Yesu, wamfanyie kwa desturi ya sharia, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Basi, akiongozwa na Roho Mtakatifu, Simeoni aliingia hekaluni; na wazazi wa Yesu walipomleta hekaluni mtoto wao ili wamfanyie kama ilivyotakiwa na sheria, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Basi, akiongozwa na Roho Mtakatifu, Simeoni aliingia hekaluni; na wazazi wa Yesu walipomleta hekaluni mtoto wao ili wamfanyie kama ilivyotakiwa na sheria, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Basi, akiongozwa na Roho Mtakatifu, Simeoni aliingia hekaluni; na wazazi wa Yesu walipomleta hekaluni mtoto wao ili wamfanyie kama ilivyotakiwa na sheria, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Simeoni, akiwa ameongozwa na Roho wa Mungu, alienda Hekaluni. Wazazi walipomleta mtoto Isa ili kumfanyia kama ilivyokuwa desturi ya Torati, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Simeoni, akiwa ameongozwa na Roho wa Mwenyezi Mungu, alikwenda Hekaluni. Wazazi walipomleta mtoto Isa ili kumfanyia kama ilivyokuwa desturi ya Torati, Tazama sura |