Luka 2:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192124 wakatoe sadaka kama ilivyonenwa katika sharia ya Bwana, Hua wawili, au makinda ya njiwa mawili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Pia walikwenda ili watoe sadaka: Hua wawili au makinda mawili ya njiwa, kama ilivyotakiwa katika sheria ya Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Pia walikwenda ili watoe sadaka: Hua wawili au makinda mawili ya njiwa, kama ilivyotakiwa katika sheria ya Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Pia walikwenda ili watoe sadaka: hua wawili au makinda mawili ya njiwa, kama ilivyotakiwa katika sheria ya Bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 na pia kutoa dhabihu kulingana na yale yaliyonenwa katika Torati ya Mwenyezi Mungu: “Hua wawili au makinda wawili wa njiwa”. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 na pia kutoa dhabihu kulingana na yale yaliyonenwa katika Torati ya Bwana Mwenyezi: “Hua wawili au makinda mawili ya njiwa.” Tazama sura |