Luka 2:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 (kama ilivyoandikwa katika sharia ya Bwana, Killa mume afunguae tumbo la mama yake aitwe mtakatifu kwa Bwana;) Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Katika sheria ya Bwana imeandikwa: “Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume atawekwa wakfu kwa Bwana.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Katika sheria ya Bwana imeandikwa: “Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume atawekwa wakfu kwa Bwana.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Katika sheria ya Bwana imeandikwa: “Kila mzaliwa wa kwanza wa kiume atawekwa wakfu kwa Bwana.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 (kama ilivyoandikwa katika Torati ya Mwenyezi Mungu, kwamba, “Kila mtoto wa kiume kifungua mimba atawekwa wakfu kwa Mwenyezi Mungu”), Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 (kama ilivyoandikwa katika Torati ya Bwana Mwenyezi, kwamba, “Kila mtoto wa kiume kifungua mimba atawekwa wakfu kwa Bwana Mwenyezi Mungu”), Tazama sura |