Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 2:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Walipoona wakaeneza khabari za neno waliloambiwa, la huyu mtoto.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Hao wachungaji walipomwona mtoto huyo wakawajulisha wote habari waliyokuwa wamesikia juu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Hao wachungaji walipomwona mtoto huyo wakawajulisha wote habari waliyokuwa wamesikia juu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Hao wachungaji walipomwona mtoto huyo wakawajulisha wote habari waliyokuwa wamesikia juu yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Walipomwona yule mtoto, wakawaeleza yale waliyokuwa wameambiwa kuhusu huyo mtoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Walipomwona yule mtoto, wakawaeleza yale waliyokuwa wameambiwa kuhusu huyo mtoto.

Tazama sura Nakili

Luka 2:17
10 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaenda kwa haraka, wakamkuta Mariamu na Yusuf, na mtoto amelazwa horini.

Wote waliosikia wakataajabu kwa yale waliyoambiwa na wachungaji.

Akitokea yeye nae saa ileile, alimshukuru Mungu, akawapasha khabari zake watu wote waliokuwa wakitazamia ukombozi katika Yerusalemi.

Rudi nyumbani kwako, ukayakhubiri mambo makuu aliyokutendea Mungu. Akaenda zake, akikhubiri katika mji mzima mambo makuu ambayo Yesu amemtendea.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo