Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 2:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Wakaenda kwa haraka, wakamkuta Mariamu na Yusuf, na mtoto amelazwa horini.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Basi, wakaenda mbio, wakamkuta Maria na Yosefu na yule mtoto mchanga amelazwa horini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Basi, wakaenda mbio, wakamkuta Maria na Yosefu na yule mtoto mchanga amelazwa horini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Basi, wakaenda mbio, wakamkuta Maria na Yosefu na yule mtoto mchanga amelazwa horini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Hivyo wakaenda haraka Bethlehemu, wakawakuta Mariamu na Yusufu na yule mtoto mchanga akiwa amelala katika hori la kulia ng’ombe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Hivyo wakaenda haraka Bethlehemu, wakawakuta Mariamu na Yusufu na yule mtoto mchanga akiwa amelala katika hori la kulia ng’ombe.

Tazama sura Nakili

Luka 2:16
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mariamu akaondoka siku hizo, akaenda milimani kwa haraka hatta mji mmoja wa Yuda.

Bassi, wale waliotumwa wakaenda, wakaona vile vile kama alivyowaambia.

Na hii ni ishara kwenu: Mtamkuta mtoto amefungwa nguo za kitoto; amelazwa horini.

Ikawa malaika walipoondoka kwenda zao mbinguni, wale wachungaji wakaambiana, Haya na twende zetu mpaka Bethlehemu, tukaone neno hili lililofanyika, Bwana alilotujulisha.

Walipoona wakaeneza khabari za neno waliloambiwa, la huyu mtoto.

Akamzaa mtoto wake wa kifungua mimba, akamfunga nguo za kitoto, akamlaza horini kwa sababu hawakuona nafasi katika nyumba ya wageni.

Wakaenda wakaona kama alivyowaambia, wakaiandalia Pasaka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo