Luka 2:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192115 Ikawa malaika walipoondoka kwenda zao mbinguni, wale wachungaji wakaambiana, Haya na twende zetu mpaka Bethlehemu, tukaone neno hili lililofanyika, Bwana alilotujulisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Baada ya hao malaika kuondoka na kurudi mbinguni, wachungaji wakaambiana: “Twendeni moja kwa moja mpaka Bethlehemu tukalione tukio hili Bwana alilotujulisha.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Baada ya hao malaika kuondoka na kurudi mbinguni, wachungaji wakaambiana: “Twendeni moja kwa moja mpaka Bethlehemu tukalione tukio hili Bwana alilotujulisha.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Baada ya hao malaika kuondoka na kurudi mbinguni, wachungaji wakaambiana: “Twendeni moja kwa moja mpaka Bethlehemu tukalione tukio hili Bwana alilotujulisha.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Hao malaika walipokwisha kuondoka na kwenda zao mbinguni, wale wachungaji wakasemezana wao kwa wao, “Twendeni Bethlehemu tukaone mambo haya yaliyotukia, ambayo Mwenyezi Mungu ametuambia habari zake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Hao malaika walipokwisha kuondoka na kwenda zao mbinguni, wale wachungaji wakasemezana wao kwa wao, “Twendeni Bethlehemu tukaone mambo haya ya ajabu yaliyotukia, ambayo Mwenyezi Mungu ametuambia habari zake.” Tazama sura |