Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 19:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Hatta watu walipoona wakanungʼunika wote, wakisema, ya kama, Ameingia akae kwa mtu mwenye dhambi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Watu wote walipoona hayo, wakaanza kunungunika wakisema, “Amekwenda kukaa kwa mtu mwenye dhambi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Watu wote walipoona hayo, wakaanza kunungunika wakisema, “Amekwenda kukaa kwa mtu mwenye dhambi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Watu wote walipoona hayo, wakaanza kunung'unika wakisema, “Amekwenda kukaa kwa mtu mwenye dhambi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Watu wote walipoona hivyo, wakaanza kunung’unika wakisema, “Ameenda kuwa mgeni wa mtu mwenye dhambi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Watu wote walipoona hivyo, wakaanza kunung’unika wakisema, “Amekwenda kuwa mgeni wa ‘mtu mwenye dhambi.’ ”

Tazama sura Nakili




Luka 19:7
11 Marejeleo ya Msalaba  

Wakiisha kupokea, wakamnungʼunikia mwenye nyumba,


na hawo nao akawaambia, Enendeni nanyi katika shamba langu la mizabibu, na iliyo liaki nitakupeni. Wakaenda.


Mafarisayo walipoona, wakawaambia wanafunzi wake, Kwa nini mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?


Mafarisayo na wandishi wakanungʼunika, wakasema, Huyu hukaribisha wenye dhambi, hula pamoja nao.


Akashuka upesi, akamkaribisha kwa furaha.


Zakkayo akasimama, akamwambia Bwana, Bwana, nussu ya mali zangu ninawapa maskini; na kama nimetoza mtu kitu kwa kumsingizia uwongo ninamrudishia marra nne.


Mafarisayo na waandishi wao wakawanungʼunikia wanafunzi wake, wakisema, Kwa nini mnakula na kunywa pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?


Mwana wa Adamu amekuja, anakula na kunywa, mkasema, Mlafi huyu, na mnywaji wa mvinyo, rafiki wa watoza ushuru na wenye dhambi.


Yule Farisayo aliyemwalika, alipoona haya akasema kimoyomoyo, akinena, Mtu huyu kama angekuwa nabii, angalimjua huyu ni nani! na ni mwanamke gani anaemgusa, ya kuwa ni mwenye dhambi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo