Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 19:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Akashuka upesi, akamkaribisha kwa furaha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Zakayo akashuka haraka, akamkaribisha kwa furaha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Zakayo akashuka haraka, akamkaribisha kwa furaha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Zakayo akashuka haraka, akamkaribisha kwa furaha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Hivyo Zakayo akashuka upesi, akamkaribisha Isa nyumbani mwake kwa furaha kubwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Hivyo Zakayo akashuka upesi, akamkaribisha Isa nyumbani kwake kwa furaha kubwa.

Tazama sura Nakili




Luka 19:6
11 Marejeleo ya Msalaba  

Na Yesu, alipofika mahali pale, akatazama juu, akamwona, akamwambia, Zakkayo, shuka upesi; maana leo imenipasa kushinda nyumbani mwako.


Hatta watu walipoona wakanungʼunika wote, wakisema, ya kama, Ameingia akae kwa mtu mwenye dhambi.


Wakaenda kwa haraka, wakamkuta Mariamu na Yusuf, na mtoto amelazwa horini.


Nae Lawi akamfanyia karamu kubwa nyumbani mwake: na palikuwa na kundi kubwa la watoza ushuru, na watu wengine waliokuwa wameketi pamoja nao chakulani.


Hatta alipokwisha kumbatiza, yeye na nyumba yake, akatusihi, akisema, Kama mmeniona kuwa mwaminifu kwa Bwana, ingieni nyumbani mwangu mkakae; akatushurutisha.


Akawaleta juu nyumbani kwake, akawaandalia, akafurahi sana, yeye na nyumba yake yote, maana amekwisha kumwamini Mungu.


Nao waliolipokea neno lake kwa furaha wakabatizwa: na siku ile wakazidishiwa watu wapata elfu tatu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo