Luka 19:48 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192148 nao bawakuona la kutenda; maana watu wote waliambatana nae, wakimsikiliza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 lakini hawakuwa na la kufanya, maana watu wote walikuwa wakimsikiliza kwa makini kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 lakini hawakuwa na la kufanya, maana watu wote walikuwa wakimsikiliza kwa makini kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 lakini hawakuwa na la kufanya, maana watu wote walikuwa wakimsikiliza kwa makini kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 Lakini hawakupata nafasi kwa sababu watu wote walimfuata wakiyasikiliza maneno yake kwa usikivu mwingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 Lakini hawakupata nafasi kwa sababu watu wote walimfuata wakiyasikiliza maneno yake kwa usikivu mwingi. Tazama sura |