Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 19:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

44 watakuangusha chini, na watoto wako ndani yako; wasikuachie jiwe juu ya jiwe; kwa kuwa hukujua majira ya kujiliwa kwako.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Watakupondaponda wewe pamoja na watoto wako ndani ya kuta zako; hawatakuachia hata jiwe moja juu ya jingine, kwa sababu hukuutambua wakati Mungu alipokujia kukuokoa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Watakupondaponda wewe pamoja na watoto wako ndani ya kuta zako; hawatakuachia hata jiwe moja juu ya jingine, kwa sababu hukuutambua wakati Mungu alipokujia kukuokoa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Watakupondaponda wewe pamoja na watoto wako ndani ya kuta zako; hawatakuachia hata jiwe moja juu ya jingine, kwa sababu hukuutambua wakati Mungu alipokujia kukuokoa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Watakuponda chini, wewe na watoto walio ndani ya kuta zako. Nao hawataacha hata jiwe moja juu ya jingine, kwa sababu hukutambua wakati wa kujiliwa kwako.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Watakuponda chini, wewe na watoto walioko ndani ya kuta zako. Nao hawataacha hata jiwe moja juu ya jingine, kwa sababu hukutambua wakati wa kujiliwa kwako.”

Tazama sura Nakili

Luka 19:44
19 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajibu akawaambia, Hamyaoni haya yote? Amin, nawaambieni, Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitahomolewa.

Yesu akajibu, akawaambia, Waona majengo haya makuhwa makubwa? Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomelewa.

Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli; Kwa kuwa amewajia watu wake na kuwakomboa.

Kwa rehema zake Mungu wetu, Kwazo mwangaza wa juu umetujia,

akasema, Laiti ungalijua siku hii yaliyo ya amani! lakini sasa yamefichwa machoni mwenu;

Haya mnayoyatazama, siku zitakuja, halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.

mwe na maongezi mazuri kati ya Mataifa, illi, iwapo huwasingizia kuwa mnatenda mabaya, wayatazamapo matendo yenu mazuri, wamtukuze Mungu siku ya kujiliwa nae.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo