Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 19:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika mkutano wakamwambia, Mwalimu, wakemee wanafunzi wako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Hapo baadhi ya Mafarisayo waliokuwako katika lile kundi la watu wakamwambia Yesu, “Mwalimu, wanyamazishe wanafunzi wako!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Hapo baadhi ya Mafarisayo waliokuwako katika lile kundi la watu wakamwambia Yesu, “Mwalimu, wanyamazishe wanafunzi wako!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Hapo baadhi ya Mafarisayo waliokuwako katika lile kundi la watu wakamwambia Yesu, “Mwalimu, wanyamazishe wanafunzi wako!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Baadhi ya Mafarisayo waliokuwamo miongoni mwa umati ule wa watu wakamwambia, “Mwalimu, waamuru wanafunzi wako wanyamaze.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Baadhi ya Mafarisayo waliokuwamo miongoni mwa ule umati wa watu wakamwambia, “Mwalimu, waamuru wanafunzi wako wanyamaze.”

Tazama sura Nakili




Luka 19:39
10 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha Herode akawaita majusi kwa faragha, akapata kwao hakika ya muda ile nyota ilipoonekana.


Ole wenu waandisbi na Mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa mnakula nyumba za wajane, na kwa unafiki mnasali sala ndefu; kwa hiyo mtapokea hukumu iliyo kubwa mno.


Makuhani wakuu wakafanya shauri wamwue Lazaro nae;


Bassi Mafarisayo wakasemezana wao kwa wao, Mwaona kwamba hamfai neno: tazameni, ulimwengu umekwenda nyuma yake.


Au mwadhani ya kwamba maandiko yasema burre? Roho ikaayo ndani yetu hutamani kiasi cha kuona wivu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo