Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 19:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 wakinena Amebarikiwa mfalme ajae kwa jina la Bwana, amani mbinguni, na utukufu palipo juu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 wakawa wanasema: “Abarikiwe Mfalme ajaye kwa jina la Bwana. Amani mbinguni, na utukufu juu mbinguni!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 wakawa wanasema: “Abarikiwe Mfalme ajaye kwa jina la Bwana. Amani mbinguni, na utukufu juu mbinguni!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 wakawa wanasema: “Abarikiwe Mfalme ajaye kwa jina la Bwana. Amani mbinguni, na utukufu juu mbinguni!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 “Amebarikiwa mfalme ajaye kwa Jina la Mwenyezi Mungu!” “Amani mbinguni na utukufu huko juu sana.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 “Amebarikiwa Mfalme ajaye kwa Jina la Bwana Mwenyezi Mungu!” “Amani mbinguni na utukufu huko juu sana.”

Tazama sura Nakili




Luka 19:38
21 Marejeleo ya Msalaba  

wakinena, Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyola yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudu.


Na makutano waliotangulia, na waliofuata, wakapaaza sauti zao, wakinena, Utuokoe sasa, Mwana wa Daud; amebarikiwa ajae kwa jina la Bwana; Utuokoe sasa wewe uliye juu.


Kisha Mfalme atawaambia wale walio mkono wake wa kuume, Njoni, mliobarikiwa wa Baba yangu, urithini ufalme mliowekewa tangu kuumbwa ulimwengu:


Na mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambieni. Kadiri mlivyomtendea mmojawapo katika hawo ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.


Angalieni, nyumba yenu imeachwa ukiwa. Amin, nawaambieni, Hamtaniona kabisa hatta wakati ule mtakaposema, Amebarikiwa yeye ajae kwa jina la Bwana.


BASSI tukiisha kuhesabiwa wema utokao katika imani, tuwe na amani kwa Mungu, kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo;


illi sisi tuwe sifa ya utukufu wake, tuliotangulia kumwekea Kristo tumaini letu;


illi usifiwe utukufu wa neema yake, aliyotukarimu katika mpendwa wake:


illi sasa, kwa njia ya kanisa, hekima ya Mungu iliyo ya namna nyingi ijulikane na falme na mamlaka ya mbinguni;


kwake yeye utukufu katika Kanisa, na katika Kristo Yesu hatta vizazi vyote vya milele na milele. Amin.


na kwa yeye kuvipatanisha vitu vyote nae, akiisha kufanya amani kwa damu ya msalaba wake; kwa yeye, ikiwa ni vitu vilivyo juu ya inchi, au vilivyo mbinguni.


Kwa Mfalme wa milele, asiyeweza kuona uharibifu, asiyeonekana, Mungu wa hekima peke yake, kwake yeye heshima na utukufu milele na milele. Amin.


Waliofunuliwa ya kuwa si kwa ajili yao wenyewe, bali kwa ajili yetu walitumika katika mambo hayo, ambayo sasa yamekhubiriwa kwenu na wale waliowakhubiri ninyi Injili kwa Roho Mtakatifu aliyetumwa kutoka mbinguni. Mambo hiayo malaika wanatamani kuyachuugulia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo