Luka 19:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192136 Nae alipokuwa akienda, wakatandaza nguo zao njiani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Yesu akaendelea na safari, na watu wakatandaza mavazi yao barabarani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Yesu akaendelea na safari, na watu wakatandaza mavazi yao barabarani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Yesu akaendelea na safari, na watu wakatandaza mavazi yao barabarani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Alipokuwa akienda, watu wakatandaza mavazi yao barabarani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Alipokuwa akienda akiwa amempanda, watu wakatandaza mavazi yao barabarani. Tazama sura |