Luka 19:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192135 Wakampeleka kwa Yesu, wakatandika nguo zao juu ya yule mwana punda wakampandisha Yesu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Basi, wakampelekea Yesu yule mwanapunda. Kisha wakatandika mavazi yao juu yake, wakampandisha Yesu juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Basi, wakampelekea Yesu yule mwanapunda. Kisha wakatandika mavazi yao juu yake, wakampandisha Yesu juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Basi, wakampelekea Yesu yule mwanapunda. Kisha wakatandika mavazi yao juu yake, wakampandisha Yesu juu yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Wakamleta kwa Isa, nao baada ya kutandika mavazi yao juu ya huyo mwana-punda, wakampandisha Isa juu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Wakamleta kwa Isa, nao baada ya kutandika mavazi yao juu ya huyo mwana-punda, wakampandisha Isa juu yake. Tazama sura |