Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 19:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Na walipokuwa wakimfungua mwana punda, wenyewe wakawauliza, Mnamfunguliani huyu mwana punda?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Walipokuwa wanamfungua yule mwanapunda, wenyewe wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua mwanapunda huyu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Walipokuwa wanamfungua yule mwanapunda, wenyewe wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua mwanapunda huyu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Walipokuwa wanamfungua yule mwanapunda, wenyewe wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua mwanapunda huyu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Walipokuwa wanamfungua yule mwana-punda, wenyewe wakawauliza, “Mbona mnamfungua huyo mwana-punda?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Walipokuwa wanamfungua yule mwana-punda, wenyewe wakawauliza, “Mbona mnamfungua huyo mwana-punda?”

Tazama sura Nakili

Luka 19:33
2 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, wale waliotumwa wakaenda, wakaona vile vile kama alivyowaambia.

Wakasema, Bwana ana haja nae.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo