Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 19:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Na mtu akiwaambieni, Mbona mnamfungua? semeni hivi, Bwana ana haja nae.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Kama mtu akiwauliza kwa nini mnamfungua, mwambieni, ‘Bwana anamhitaji.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Kama mtu akiwauliza kwa nini mnamfungua, mwambieni, ‘Bwana anamhitaji.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Kama mtu akiwauliza kwa nini mnamfungua, mwambieni, ‘Bwana anamhitaji.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Kama mtu akiwauliza, ‘Mbona mnamfungua?’ Mwambieni, ‘Bwana anamhitaji.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Kama mtu akiwauliza, ‘Mbona mnamfungua?’ Mwambieni, ‘Bwana anamhitaji.’ ”

Tazama sura Nakili

Luka 19:31
7 Marejeleo ya Msalaba  

Enendeni zenu hatta kile kijiji kinachowakabili ninyi, na mkiingia ndani, mtaona mwana punda amefungwa, asiyepandwa na mtu bado; mfungueni, kamleteni.

Bassi, wale waliotumwa wakaenda, wakaona vile vile kama alivyowaambia.

Neno lile alilowapelekea wana wa Israeli, akikhubiri amani kwa Yesu Kristo (ndiye Bwana wa wote),

Tufuate:

Matangazo

Matangazo