Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 19:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Enendeni zenu hatta kile kijiji kinachowakabili ninyi, na mkiingia ndani, mtaona mwana punda amefungwa, asiyepandwa na mtu bado; mfungueni, kamleteni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 akawaambia: “Nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu. Mtakapokuwa mnaingia kijijini, mtamkuta mwanapunda amefungwa ambaye hajatumiwa na mtu. Mfungueni, mkamlete hapa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 akawaambia: “Nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu. Mtakapokuwa mnaingia kijijini, mtamkuta mwanapunda amefungwa ambaye hajatumiwa na mtu. Mfungueni, mkamlete hapa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 akawaambia: “Nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu. Mtakapokuwa mnaingia kijijini, mtamkuta mwanapunda amefungwa ambaye hajatumiwa na mtu. Mfungueni, mkamlete hapa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 “Nendeni katika kijiji kilichoko mbele yenu. Na mtakapokuwa mnaingia kijijini, mtampata mwana-punda amefungwa hapo, ambaye hajapandwa na mtu bado. Mfungueni, mkamlete hapa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 “Nendeni katika kijiji kilichoko mbele yenu. Na mtakapokuwa mnaingia kijijini, mtamkuta mwana-punda amefungwa hapo, ambaye hajapandwa na mtu bado. Mfungueni, mkamlete hapa.

Tazama sura Nakili

Luka 19:30
7 Marejeleo ya Msalaba  

akiwaambia, Enendeni zenu hatta kijiji kile kinachowakabili, na marra mtaona punda amefungwa, na mwana punda pamoja nae: mfungueni mkaniletee.

Hatta alipokaribia Bethfage na Bethania karibu ya mlima wa mizeituni, akatuma wawili katika wanafunzi wake, akisema,

Na mtu akiwaambieni, Mbona mnamfungua? semeni hivi, Bwana ana haja nae.

Bassi, wale waliotumwa wakaenda, wakaona vile vile kama alivyowaambia.

Na sasa nimewaambieni kabla haijawa, kusudi iwapo, mwamini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo