Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 19:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 akatafuta kumwona Yesu, ni mtu gani, asiweze lakini kwa sababu ya makutano, maana kimo chake alikuwa mfupi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Alitaka kuona Yesu alikuwa nani, lakini kwa sababu ya umati wa watu, na kwa vile alikuwa mfupi, hakufaulu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Alitaka kuona Yesu alikuwa nani, lakini kwa sababu ya umati wa watu, na kwa vile alikuwa mfupi, hakufaulu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Alitaka kuona Yesu alikuwa nani, lakini kwa sababu ya umati wa watu, na kwa vile alikuwa mfupi, hakufaulu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Yeye alikuwa akijitahidi kumwona Isa ni mtu wa namna gani. Lakini kutokana na umati mkubwa wa watu hakuweza, kwa sababu alikuwa mfupi wa kimo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Yeye alikuwa akijitahidi kumwona Isa ni mtu wa namna gani. Lakini kutokana na umati mkubwa wa watu hakuweza kwa sababu alikuwa mfupi wa kimo.

Tazama sura Nakili




Luka 19:3
7 Marejeleo ya Msalaba  

Palikuwako na wanawake wakitazama kwa mbali; katika hawa alikuwa Mariamu Magdalene, na Mariamu mama wa Yakobo mdogo na wa Yose, na Salome:


Yupi wenu awezae kwa kusumbuka kujiongeza kimo chake mkono mmoja?


Na tazama, mtu mmoja, jina lake alikwitwa Zakkayo, mkubwa wa watoza ushuru, nae tajiri:


Akatangulia mbio, akapanda juu ya mkuyu apate kumwona, kwa sababu alitaka kupita njia ile.


Na Herode alipomwona Yesu, akafurahiwa sana: kwa kuwa tangu zamani alikuwa akitaka kumwona, kwa sababu amesikia mambo yake; akataraja kuona ishara inafanyika nae.


Bassi hao walimwendea Filipo wa Bethsaida wa Galilaya, wakimwuliza, wakisema, Bwana, tunataka kumwona Yesu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo