Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 19:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Hatta alipokaribia Bethfage na Bethania karibu ya mlima wa mizeituni, akatuma wawili katika wanafunzi wake, akisema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Alipokaribia kufika Bethfage na Bethania, karibu na mlima wa Mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Alipokaribia kufika Bethfage na Bethania, karibu na mlima wa Mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Alipokaribia kufika Bethfage na Bethania, karibu na mlima wa Mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Naye alipokaribia Bethfage na Bethania kwenye mlima ulioitwa Mlima wa Mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili, akawaambia,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Naye alipokaribia Bethfage na Bethania kwenye mlima uitwao Mlima wa Mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili, akawaambia,

Tazama sura Nakili




Luka 19:29
11 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaacha, akatoka nje ya mji mpaka Bethania, akalala huko.


Enendeni zenu hatta kile kijiji kinachowakabili ninyi, na mkiingia ndani, mtaona mwana punda amefungwa, asiyepandwa na mtu bado; mfungueni, kamleteni.


Hatta alipokuwa amekwisha kukaribia matelemko va mlima wa mizeituni, kundi lote la wanafunzi wake wakaanza kufurahi na kumhimidi Mungu kwa sauti kuu, kwa ajili ya miujiza yote waliyoiona,


Bassi killa siku alikuwa akifundisha hekaluni wakati wa mchana; na wakati wa usiku akitoka, na kulala katika mlima uitwao mlima wa mizeituni.


Akatoka, akaenda zake hatta mlima wa mizeituni, kama ilivyo kawaida yake: wanafunzi wake wakamfuata.


Akawaongoza nje mpaka Bethania: akainua mikono yake, akawabariki.


Kiisha wakarudi kwenda Yerusalemi kutoka mlima ulioitwa wa mizeituni, ulio karibu na Yerusalemi, wapata mwendo wa sabato.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo