Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 19:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Walakini wale adui zangu wasiotaka niwatawale, waleteni huku mkawachinje mhele zangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Na sasa, kuhusu hao maadui zangu ambao hawapendi niwe mfalme wao, waleteni hapa, mkawaue papa hapa mbele yangu.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Na sasa, kuhusu hao maadui zangu ambao hawapendi niwe mfalme wao, waleteni hapa, mkawaue papa hapa mbele yangu.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Na sasa, kuhusu hao maadui zangu ambao hawapendi niwe mfalme wao, waleteni hapa, mkawaue papa hapa mbele yangu.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Lakini wale adui zangu ambao hawakutaka mimi niwe mfalme juu yao. Waleteni hapa mkawaue mbele yangu.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Lakini wale adui zangu ambao hawakutaka mimi niwe mfalme juu yao. Waleteni hapa mkawaue mbele yangu.’ ”

Tazama sura Nakili

Luka 19:27
23 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi yule mfalme alipopata khahari, akaghadhabika: akapeleka majeshi yake, akawaangamiza wauaji wale, akauteketeza mji wao.

Wenyeji wake wakanichukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, Hatutaki mtu huyu atutawale.

Atakuja na kuwaangamiza wale wakulima, na lile shamba la mizabibu atawapa wengine.

Kwa sababu hizi ni siku ya mapatilizo, yote yaliyoandikwa yapate kutimizwa.

Nao wataanguka kwa ukali wa upanga, watachukuliwa mateka mpaka mataifa yote: nao Yerusalemi utakanyagwa na mataifa, hatta majira ya mataifa yatakapotimia.

akingojea hatta adui zake wawekwe kuwa chini ya miguu yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo