Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 19:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Maana nawaambieni, Killa aliye na kitu, atapewa, bali yeye asiye na kitu hatta kile alicho nacho atanyangʼanywa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Naye akawajibu: ‘Kila aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Naye akawajibu: ‘Kila aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Naye akawajibu: ‘Kila aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 “Akawajibu, ‘Nawaambia kwamba kila aliye na kitu, ataongezewa. Lakini yule asiye na kitu, hata alicho nacho atanyang’anywa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 “Akawajibu, ‘Nawaambia kwamba kila aliye na kitu, ataongezewa. Lakini yule asiye na kitu, hata alicho nacho atanyang’anywa.

Tazama sura Nakili

Luka 19:26
17 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana ye yote aliye na mali atapewa, na hado atazidishiwa tele: lakini ye yote asiye nayo, hatta ile aliyo nayo ataondolewa.

Kwa sababu hii nawaambieni, ya kwamba ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, na watapewa taifa lingine wenye kuzaa matunda yake.

Kwa maana mtu aliye na kitu atapewa, nae asiye na kitu, hatta kile alicho nacho ataondolewa.

Yule wakili akasema moyoni, Nifanyeje, kwa maana bwana wangu ananiondolea nwakili? Kulima siwezi; kuomba natahayari.

(Wakamwambia, Bwana, ana mane kumi).

Jihadharini, bassi, jinsi msikiavyo. Maana yeye aliye na kitu, atapewa: nae asiye na kitu ataondolewa hatta kitu kile ambacho anaonekana kuwa anacho.

Kwa maana imeandikwa katika kitabu cha Zaburi, Kikao chake kiwe ukiwa, wala asiwepo mtu mwenye kukaa humo; tena, Usimamizi wake autwae mwingine.

Jiangalieni nafsi zenu msiyapoteze mliyoyatenda, bali mpokee thawabu timilifu.

tena ulistahimili na kuwa na uvumilivu, na kwa ajili yangu umejitaabisha wala hukuchoka.

Tazama, naja upesi. Shika sana ulicho nacho asije mtu akaitwaa taji yako.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo