Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 19:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 (Wakamwambia, Bwana, ana mane kumi).

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Nao wakamwambia: ‘Lakini Bwana, huyo ana faida ya kiasi hicho mara kumi!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Nao wakamwambia: ‘Lakini Bwana, huyo ana faida ya kiasi hicho mara kumi!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Nao wakamwambia: ‘Lakini Bwana, huyo ana faida ya kiasi hicho mara kumi!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 “Wakamwambia, ‘Bwana, mbona; tayari anayo mafungu kumi!’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 “Wakamwambia, ‘Bwana, mbona; tayari anayo mafungu kumi!’

Tazama sura Nakili

Luka 19:25
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwita, akamwambia, Nini hii nisikiayo juu yako? Toa khabari ya uwakili wako, maana huwezi tena kuwa wakili.

Akawaambia waliohudhuria, Mnyangʼanyeni mane yake moja mkampe yule mwenye mane kumi.

Maana nawaambieni, Killa aliye na kitu, atapewa, bali yeye asiye na kitu hatta kile alicho nacho atanyangʼanywa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo