Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 19:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Akawaambia waliohudhuria, Mnyangʼanyeni mane yake moja mkampe yule mwenye mane kumi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Hapo akawaambia wale waliokuwa pale: ‘Mnyanganyeni hiyo fedha, mkampe yule aliyepata faida mara kumi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Hapo akawaambia wale waliokuwa pale: ‘Mnyanganyeni hiyo fedha, mkampe yule aliyepata faida mara kumi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Hapo akawaambia wale waliokuwa pale: ‘Mnyang'anyeni hiyo fedha, mkampe yule aliyepata faida mara kumi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 “Ndipo akawaambia wale waliokuwa wamesimama karibu, ‘Mnyang’anyeni fungu lake la fedha, mkampe yule mwenye kumi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 “Ndipo akawaambia wale waliokuwa wamesimama karibu, ‘Mnyang’anyeni fungu lake la fedha, mkampe yule mwenye kumi.’

Tazama sura Nakili




Luka 19:24
5 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akamwambia, Mpumbavu wewe, usiku huu wa leo, wanakutaka roho yako. Nayo uliyojiwekea tayari yatakuwa ya nani?


Akamwita, akamwambia, Nini hii nisikiayo juu yako? Toa khabari ya uwakili wako, maana huwezi tena kuwa wakili.


Akawaita watu kumi katika watumishi wake, akawapa mane za fedha kumi, akawaambia, Fanyeni biashara hatta nitakaporudi.


mbona, bassi, hukuweka fedha yangu kwao watoao riba, nami nikija ningaliipata pamoja na faida?


(Wakamwambia, Bwana, ana mane kumi).


Tufuate:

Matangazo


Matangazo