Luka 19:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 mbona, bassi, hukuweka fedha yangu kwao watoao riba, nami nikija ningaliipata pamoja na faida? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Kwa nini, basi, hukuiweka fedha yangu benki, nami ningeichukua pamoja na faida baada ya kurudi kwangu?’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Kwa nini, basi, hukuiweka fedha yangu benki, nami ningeichukua pamoja na faida baada ya kurudi kwangu?’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Kwa nini, basi, hukuiweka fedha yangu benki, nami ningeichukua pamoja na faida baada ya kurudi kwangu?’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 kwa nini basi hukuweka fedha zangu kwa watoa riba, ili nitakaporudi nichukue iliyo yangu na riba yake?’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 kwa nini basi hukuweka fedha zangu kwa watoa riba, ili nitakaporudi nichukue iliyo yangu na riba yake?’ Tazama sura |