Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 19:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Akamwambia, Kwa kinywa chako nitakuhukumu, ee mtumishi mwovu wewe. Ulijua ya kuwa mimi mtu mgumu, naondoa nisichoweka, navuna nisichopanda;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Naye akamwambia: ‘Nakuhukumu kutokana na msemo wako, ewe mtumishi mbaya! Ulijua kwamba mimi ni mtu mkali, ambaye huchukua yasiyo yangu na kuchuma nisichopanda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Naye akamwambia: ‘Nakuhukumu kutokana na msemo wako, ewe mtumishi mbaya! Ulijua kwamba mimi ni mtu mkali, ambaye huchukua yasiyo yangu na kuchuma nisichopanda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Naye akamwambia: ‘Nakuhukumu kutokana na msemo wako, ewe mtumishi mbaya! Ulijua kwamba mimi ni mtu mkali, ambaye huchukua yasiyo yangu na kuchuma nisichopanda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 “Bwana wake akamjibu, ‘Nitakuhukumu kwa maneno yako mwenyewe, wewe mtumishi mwovu! Kama ulifahamu kwamba mimi ni mtu mgumu, ninayechukua nisichoweka, na kuvuna nisichopanda,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 “Bwana wake akamjibu, ‘Nitakuhukumu kwa maneno yako mwenyewe, wewe mtumishi mwovu! Kama ulifahamu kwamba mimi ni mtu mgumu, nichukuaye mahali ambapo sikuweka kitu na kuvuna mahali ambapo sikupanda,

Tazama sura Nakili

Luka 19:22
8 Marejeleo ya Msalaba  

Maana kwa maneno yako utapewa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.

Akamwambia, Rafiki, uliingiaje humu nawe huna vazi la arusi? Akatekewa.

maana nalikuogopa, kwa sababu wewe mtu mgumu; waondoa usichoweka, wavuna usichopanda.

mbona, bassi, hukuweka fedha yangu kwao watoao riba, nami nikija ningaliipata pamoja na faida?

Twajua ya kuwa mambo yote yasemwayo na torati huyanena kwa hao walio chini ya torati, illi killa kinywa kifumbwe, ulimwengu wote ukapasiwe na hukumu ya Mungu:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo